A biography of adolf hitler a dictator of germany

Interview with George Sylvester Viereck, Socialism is the science of dealing with the common weal. Communism is not Socialism. Marxism is not Socialism.

A biography of adolf hitler a dictator of germany

ADDITIONAL MEDIA

Utoto na familia Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga. Alizaliwa nchini Austria mwaka Wazazi wake walikuwa mtumishi wa forodha ya Austria Alois Hitler na mama yake Klara aliyekuwa mke wa tatu wa Alois. Adolf alikuwa na ndugu watano lakini kati yao ni dada yake Paula pekee aliyeishi kufikia umri wa mtu mzimawengine wote walikufa mapema.

Alikuwa pia na ndugu wawili kutoka ndoa ya mke wa pili wa baba na hao waliitwa Alois mdogo na Angela waliokaa katika familia ya Alois mzee baada ya kifo cha mama. Kutokana na kuhamishwa kwa baba mara kwa mara Adolf alisoma kwenye shule za msingi tofauti kati ya hadi Kuanzia mwaka alisoma kwenye shule ya sekondari mjini Linz lakini hakufaulu, alipaswa kurudia madarasa mawili.

Adolf Hitler (1889-1945)

Hakupenda somo la dinilakini alivutiwa na historia na jiografia. Baba alimpiga mara nyingi katika kipindi kile akikasirika juu ya kutofaulu shuleni.

Baada ya kifo cha baba Alois mwaka mamake alimhamisha kwenda shule nyingine mjini lakini alishindwa hapa pia, akarudi nyumbani kwa mama bila ya kumaliza masomo yake. Alipokaa Linz Adolf alifahamika na mafundisho ya kiongozi wa chama cha "Alldeutsch" [1] na hapa alianza kusikia habari za chuki dhidi ya Wayahudi na dharau dhidi ya mataifa ya Waslavi ya Ulaya.

Tangu Hitler alijisikia kuwa msanii alipeleleza nafasi za kusoma uchoraji. Mwaka aliomba kupokewa katika chuo cha sanaa mjini Vienna, lakini alishindwa.

Akarudi nyumbani baada ya kusikia mamake alikuwa mgonjwa wa kansa. Aliangalia nyumba hadi kifo cha mama kwenye Desemba Mama alitibiwa na daktari Eduard Bloch aliyekuwa Myahudi; Adolf alimshukuru sana kwa juhudi zake na baadaye alimlinda Bloch dhidi ya mateso yaliyoandaliwa kwa Wayahudi katika miaka ya baada ya Hitler kuwa mtawala wa Ujerumani na tangu wa Austria pia.

Msanii asiyefaulu Vienna na Munich Tangu Januari alitumia urithi wa mama pamoja na pensheni ya mjane kwa kuhamia Vienna alipokaa hadi Alijaribu tena kupata nafasi kwenye chuo cha sanaa cha Vienna akashindwa tena.

Adolf Hitler, in His Own Words | Owlcation

Mtu aliyeishi pamoja naye katika chumba kimoja alisema wakati ule Hitler alivutiwa zaidi na opera za Richard Wagner kuliko siasa. Tangu mwisho wa alihama mara kwa mara sehemu alipokaa akitafuta kupanga vyumba kwa bei nafuu zaidi; inaonekana matatizo ya pesa yaliongezeka.

Miaka - alipaswa kuishi katika bweni la wanaume wasio na nyumba [2]. Tangu Hitler alikuwa na mapato madogo kwa njia ya kunakili picha alizouza kupitia watu walioishi pamoja naye katika bweni.

Wengine waliouza picha kwa niaba yake walikuwa Wayahudi lakini, tofauti na daktari wa mamake, hakuwapa usaidizi wowote baadaye: Hitler alisoma mengi wakati ule na hasa maandiko yaliyotangaza ubora wa mbari ya Kigermanik na chuki dhidi ya Wayahudi.

Adolf Hitler Biography - life, children, name, death, school, mother, young, son

Mwaka alihamia Munich katika jimbo la BavariaUjerumani. Alikuwa amepokea hela kidogo kutoka urithi wa babake pia alitaka kujiondoa katika wajibu wa kufanya huduma ya lazima ya kijeshi katika Austria-Hungaria.

Aliendelea kunakili picha na kuziuza kwenye maduka ya sanaa. Mnamo Februari alikamatwa na polisi ya Bavaria na kupelekwa Austria lakini huko iliamuliwa hafai kwa huduma ya kijeshi akarudi Munich.

Wakati wa kukaa Munich alisoma maandiko ya Houston Stewart Chamberlain kuhusu ubaguzi wa kimbari.

Mwanajeshi - Kuhamia kwake Munich kulifuatwa na vita mwaka Mnamo Agostiwakati wa mwanzo wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alijitolea kwa jeshi la Bavaria ambapo kutokana na bidii na ukakamavu wake alipanda cheo na kuwa praiveti.

Mwisho wa vita mwaka alikuwa na cheo cha koplo. Hakupewa shughuli za kupigania maadui moja kwa moja bali sehemu kubwa ya vita alihudumia kama tarishi aliyebeba habari na barua kati ya maafisa wa ngazi ya juu na hivyo mbali kiasi na eneo la mapigano.

Alijeruhiwa mwaka alipopigwa na kibanzi cha kombora na tena kwenye Oktoba alipoathiriwa na gesi ya sumu iliyosababisha kipindi cha upofu.

Alikuwa hospitalini bado aliposikia habari za mapinduzi katika Ujerumani na azimio la kusimamisha vita tarehe 11 Novemba Kuingia siasa Mwezi Novemba Hitler alirudi Munich alipoendelea kuwa mwanajeshi hadi mwaka Munich iliona kipindi cha vuguvugu ya mapinduzi.

Kwa muda alishiriki katika kamati zilizochaguliwa na wanajeshi na kuwawakilisha mbele ya serikali na maafisa.

A biography of adolf hitler a dictator of germany

Munich iliona kipindi kifupi cha mapinduzi makali ambako viongozi wake walijaribu kuiga mfano wa Urusi. Kipindi hiki kilikwisha baada ya mashambulio ya sehemu za jeshi zilizofuata amri za serikali kuu ya Berlin.

Sasa maafisa wa jeshi walioshika tena amri walipambana na mielekeo ya kikomunisti na kisoshalisti kati ya askari na wafanyakazi wa viwanda. Hapa Hitler aliteuliwa na wakuu wake kwa propaganda dhidi ya wanamapinduzi wasoshalisti.Adolf Hitler: Adolf Hitler, leader of the Nazi Party (from /21) and chancellor and Fuhrer of Germany (–45).

He was the leader of Germany during that country’s participation in World War II, and he oversaw the Nazi Party’s implementation of the Holocaust, which resulted in the deaths of millions of people.

Sep 28,  · A new biography portrays Hitler as a clownish, deceitful narcissist who took control of a powerful nation thanks to slick propaganda and a dysfunctional elite that failed to block his rise.

Adolf Hitler's rise to power began in Germany in September when Hitler joined the political party known as the Deutsche Arbeiterpartei – DAP (German Workers' Party). The name was changed in to the Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei – NSDAP (National Socialist German Workers' Party, commonly known as the Nazi .

The German dictator Adolf Hitler led the extreme nationalist and racist Nazi party and served as chancellor-president of Germany from to Quick Facts Name Benito Mussolini Occupation Dictator Birth Date July 29, Death Date April 28, Did You Know?

For a brief time, Mussolini worked as a schoolmaster. Adolf Hitler, byname Der Führer (German: “The Leader”), (born April 20, , Braunau am Inn, Austria—died April 30, , Berlin, Germany), leader of the Nazi Party (from /21) and chancellor (Kanzler) and Führer of Germany (–45).

Biography of Adolf Hitler: Artist, Writer, Dictator | Owlcation